Home BIASHARA BENKI YA NMB YANG’ARA TUZO ZA SUPER BRAND

BENKI YA NMB YANG’ARA TUZO ZA SUPER BRAND

Google search engine
Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya NMB, Benson Mahenya (kushoto) na  Afisa Mkuu wa Rasilimali Watu wa NMB, Emmanuel Akonaay, wakiwa na tuzo ya Super Brands mara baada ya kukabidhiwa katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. (Na Mpiga Picha Wetu).

Afisa Mkuu wa Rasilimali Watu wa Benki ya NMB, Emmanuel Akonaay (kulia) akipokea tuzo ya Super Brands kutoka kwa Mkurugenzi wa Super Brands Afrika Mashariki, Jawad Jaffer (katikati) na Meneja Biashara wa Nation Media Group, James Sogoti (kushoto). Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam jana. (Na Mpiga Picha Wetu).
Google search engine

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here