Home KITAIFA AFISA MTENDAJI MKUU NMB ALIVYOSHIRIKI MKUTANO WA KIMATAIFA WA MIFUMO YA CHAKULA...

AFISA MTENDAJI MKUU NMB ALIVYOSHIRIKI MKUTANO WA KIMATAIFA WA MIFUMO YA CHAKULA AFRICA

Google search engine
Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna (kulia) akizungumza katika mkutano wa kimataifa wa mifumo ya chakula Africa kama mmoja ya watoa mada katika kikao cha kwanza cha mkutano huo uliojumuisha wadau mbalimbali wa sekta ya chakula ndani na nje ya bara la Afrika. Kushoto ni mkuu wa Idara ya Mikakati wa Benki ya Rabobank, Ben Valk, na katikati ni makamu wa Rais wa shirika la Farmer Solution Africa, Mehdi Filali.” 

Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna (kulia) akisalimiana na Balozi wa Canada nchini Tanzania, Kyle Nunas (kushoto) katika mkutano wa kimataifa wa Mifumo ya chakula Africa uliofanyika katika ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.

Google search engine

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here