Home BIASHARA NMB YAKUTANA NA WAFANYABIASHARA WA BUHONGWA JIJINI MWANZA

NMB YAKUTANA NA WAFANYABIASHARA WA BUHONGWA JIJINI MWANZA

Google search engine

Mkuu wa Idara ya Biashara ya kadi wa Benki ya NMB, Philbert Casmir, akizungumza na wafanyabiashara wa eneo la Buhongwa jijini Mwanza, wakati wa kuzindua kampeni ya Onja Unogewe kwa kanda ya Ziwa. Mgeni Rasmi katika Uzinduzi huu alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana, Amina Makilagi
Google search engine

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here