Afisa Mkuu wa Wateja Wakubwa na Serikali wa Benki ya NMB, Alfred Shao akimkabidhi msaada wa vifaa vya michezo Mkuu wa Kikosi 833 cha JKT- OLJORO, Luteni Kanali – Victor Rutayuga Faustine leo Jijini Arusha, Kushoto ni Kaimu Meneja wa Kanda NMB- PrayGod Mphuru akishuhudia. Miongoni mwa vifaa vilivyokabidhiwa ni pamoja na jezi na mipira kwa timu za mpira wa miguu, kikapu, pete na riadha kwa wachezaji wa JKT.