Home KITAIFA DC Shaka Hamdu Shaka afuturisha Kilosa, wafanya maombi maalumu kwa Rais Dk....

DC Shaka Hamdu Shaka afuturisha Kilosa, wafanya maombi maalumu kwa Rais Dk. Samia

Google search engine
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro, Shaka Hamdu Shaka, akizungumza wakati wa hafla ya Iftar na kumuombea dua maalumu Rais Dk. Samia Suluhu Hassan leo April 16,2013

Viongozi wa dini, vyama vya siasa, taasisi za serikali na binafsi, mashirika na wananchi mbali mbali wa Wilaya ya Kilosa, Jumapili 16 April 2023 wameshiriki kwa pamoja katika ghafla ya Iftari iliyoandaliwa na Mkuu wa Wilaya hiyo Shaka Hamdu Shaka iliyofanyika katika makaazi ya Mkuu wa Wilaya Mtaa wa Bomani Mlimani.

Pamoja na Iftari hiyo ya Sheikh wa Wilaya Kilosa aliongoza dua maalum ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.Samia Suluhu Hassan.

Google search engine

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here