Home KITAIFA Rais Mwinyi aongoza kumbukizi ya Hayati Abeid Aman Karume leo jijini Zanzibar

Rais Mwinyi aongoza kumbukizi ya Hayati Abeid Aman Karume leo jijini Zanzibar

Google search engine
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiweka Shada la maua katika Kaburi la Rais  wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume,baada ya Dua ya kumuombea inayofanyika kila mwaka, hafla iliyofanyika leo  katika Ukumbi wa Ofisi kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa wakati alipowasili viwanja vya Ofisi kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar kuhudhuria dua ya kumuombea Rais  wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume  hafla iliyofanyika leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi na Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk.Philip Mpango (katikati) Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Luteni Jenerali Salum Haji Othman (kulia) Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe Amani Abeid Karume(wa pili kushoto) na Balozi wa China Nchini Tanzania Mhe. Shang Shisceng (kushoto) wakiwa katika kaburi la  Rais  wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume  wakati kumuombea dua,hafla iliyofanyika Leo katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanziar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akisalimiana na Viongozi wakati alipowasili viwanja vya Ofisi kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar kuhudhuria dua ya kumuombea Rais  wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume  hafla iliyofanyika leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akisalimiana na Viongozi wa Vikosi vya Ulinzi wakati alipowasili viwanja vya Ofisi kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar kuhudhuria dua ya kumuombea Rais  wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume  hafla iliyofanyika leo.
Wake wa Viongozi wakiwa  katika dua ya kumuombea Rais  wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume  hafla iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.
aadhi ya Akinamama waliohudhuria dua ya kumuombea Rais  wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume,  hafla iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akitia Ubani kuashiria kuanza kwa dua ya kumuombea Rais  wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume,hafla iliyofanyika Leo katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar(kulia) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kaabi.
Google search engine

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here