Home KITAIFA NMB yakabidhi yakabidhi sare sherehe za Mwenge Mtwara

NMB yakabidhi yakabidhi sare sherehe za Mwenge Mtwara

Google search engine

Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Kanali Ahmed Abasi (wapili Kulia) akipokea moja ya traksuti zitakazovaliwa na halaiki katika sherehe za kuwashwa kwa mwenge wa Uhuru kutoka kwa Kaimu meneja wa Kanda ya kusini wa Benki ya NMB, Roman Degeleki (wapili kushoto) katika hafla iliyofanyika katika uwanja wa Nangwanda sijaona, uwanja ambao shuguli ya uwashaji wa mwenge wa uhuru utafanyika. Kushoto ni Meneja wa mahusiano ya benki ya NMB na serikali wa kanda ya Kusini, Augustino Bayona

Google search engine
Previous articleNMB Bonge la Mpango – ‘Moto Uleule’ yazinduliwa, wateja kuzoa milioni 180/-
Next articleWahariri fanyeni kazi zenu bila woga- Rais Samia

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here