Kaimu Mkuu wa Idara ya Mawasiliano na Mahusiano wa Benki ya NMB, Vicent Mnyanyika (kushoto), akipokea tuzo ya taasis bora katika Uwajibikaji kwa Jamii (CSR) kutoka kwa Kaimu Mwenyekiti wa Chama cha Maafisa Uhusiano na Mawasiliano Serikalini (TAGCO), Sarah Kibonde, wakati wa hafla ya utoaji tuzo za Umahiri zilizotolewa na Chama cha Maafisa Uhusiano wa Umma Tanzania (PRST) 2022 jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. (Na Mpiga Picha Wetu).Kaimu Mkuu wa Idara ya Mawasiliano na Mahusiano wa Benki ya NMB, Vicent Mnyanyika (kushoto), akipokea tuzo ya Afisa Uhusiano Bora 2022 kutoka kwa mmoja wa majaji wa tuzo hizo, Daniel Mshana, wakati wa hafla ya utoaji tuzo za Umahiri zilizotolewa na Chama cha Maafisa Uhusiano wa Umma Tanzania (PRST) jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. (Na Mpiga Picha Wetu).