Home KITAIFA HABARI PICHA : GAVANA TUTUBA AKABIDHI CHETI CHA SHUKRANI KWA BENKI YA...

HABARI PICHA : GAVANA TUTUBA AKABIDHI CHETI CHA SHUKRANI KWA BENKI YA NMB

Google search engine
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba (kulia), akimkabidhi cheti cha shukrani Afisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya NMB, Juma Kimori (katikati) aliyepokea kwa niaba Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna. Cheti hicho kimetolewa na Umoja wa Mabenki Tanzania (TBA) wakati hafla ya kumuaga aliyekuwa Gavana wa BoT, Prof. Prof. Florens Luoga (kushoto), hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.
(Na Mpiga Picha Wetu).
Google search engine

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here