Home KITAIFA WAZIRI AWESO AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA JIJINI DAR ES SALAAM KUONA HALI...

WAZIRI AWESO AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA JIJINI DAR ES SALAAM KUONA HALI UPATIKAJI MAJI

Google search engine
Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso amefanya ziara ya kushtukiza jijini Dar es Salaam, akitembelea maeneo muhimu yanayopata huduma ya Maji kupitia Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (DAWASA). Ziara hii inatarajiwa kufanyika maeneo mbalimbali ambapo Waziri Aweso ameeleza kuwa rasmi anaweka Kambi jijini Dar es Salaam.
Google search engine

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here