Home KITAIFA MCHUNGAJI MSIGWA HUYO AJIUNGA CCM

MCHUNGAJI MSIGWA HUYO AJIUNGA CCM

Google search engine

Mwenyekiti wa zamani wa Kanda ya Nyasa wa CHADEMA ambaye pia ni Mbunge wa zamani wa Iringa Mjini kupitia CHADEMA, Mchungaji Peter Msigwa ametangazwa rasmi kuhamia CCM leo Jumapili June 30,2024.

Msigwa ametangazwa kuhamia CCM kwenye Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), kilichokutana Jijini Dar es salaam leo chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan

Google search engine

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here