Home KITAIFA RAIS SAMIA ATETA NA MJASIRIAMALI MAANAYATA DUTT

RAIS SAMIA ATETA NA MJASIRIAMALI MAANAYATA DUTT

Google search engine
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mjasiriamali Maanayata Dutt ambaye pia ni mke wa muigizaji nguli wa filamu kutoka India Sanjay Dutt, Ikulu Jijini Dar es Salaam leo Aprili 6, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimuelezea kuhusu picha ya Mlima Kilimanjaro aliyomzawadia Mjasiriamali Maanayata Dutt ambaye pia ni mke wa muigizaji nguli wa filamu kutoka India Sanjay Dutt, Ikulu Jijini Dar es Salaam leo Aprili 6, 2024
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mjasiriamali Maanayata Dutt ambaye pia ni mke wa muigizaji nguli wa filamu kutoka India Sanjay Dutt, Ikulu Jijini Dar es Salaam leo Aprili 6, 2024.
Google search engine

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here