Home KITAIFA MHANDISI MASAUNI AIPITISHA KAMATI YA BUNGE YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA...

MHANDISI MASAUNI AIPITISHA KAMATI YA BUNGE YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA UTEKELEZAJI WA BAJETI 2024/25

Google search engine
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni ameipitisha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama (NUU) kwenye taarifa za utekelezaji wa Bajeti ya mwaka  2023/24 na randama za makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 2024/25 kwa Jeahi la Polisi na Jeshi la Magereza. Kikao hicho kimefanyika jijini Dodoma
Google search engine

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here