Home KITAIFA NMB YASHIRIKI JUKWAA LA MAFANIKIO YA WIZARA YA KILIMO MIAKA MITATU YA...

NMB YASHIRIKI JUKWAA LA MAFANIKIO YA WIZARA YA KILIMO MIAKA MITATU YA SERIKALI YA AWAMU YA SITA

Google search engine
 Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe (katikati) akizungumza na viongozi wa Benki ya NMB wakiongozwa na Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara, Filbert Mponzi (kulia) baada ya kushiriki  jukwaa la kuelezea mafanikio ya wizara ya kilimo kwa miaka mitatu ya serikali ya awamu ya sita jijini Dar es Salaam. Wengine ni viongozi kutoka idara ya Kilimo ya Benki hiyo.
Waziri wa Kilimo, Mhe Hussein Bashe (wapili kulia) akizungumza na viongozi wa Benki ya NMB wakiongozwa na Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara, Filbert Mponzi (kulia) baada ya kushiriki  jukwaa la kuelezea mafanikio ya wizara ya kilimo kwa miaka mitatu ya serikali ya awamu ya sita jijini Dar es Salaam. Wengine ni viongozi kutoka idara ya Kilimo ya Benki hiyo.
Google search engine

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here