Home KITAIFA RAIS DK.MWINYI APOKEA POLE KUTOKA KWA MAKAMU BARA ABDULRAHMAN KINANA

RAIS DK.MWINYI APOKEA POLE KUTOKA KWA MAKAMU BARA ABDULRAHMAN KINANA

Google search engine
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amepokea salamu za pole kutoka kwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Comrade Abdulrahman Omar Kinana kufuatia kifo cha Baba yake Mzazi, Mwenyekiti wa CCM Taifa Mstaafu, Rais Mstaafu wa Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi aliyefariki dunia Februari 29, 2024, Dar es Salaam na kuzikwa Machi 2, 2024, Mangapwani, Mkoa wa Kaskazini Unguja .
Google search engine

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here