Home KITAIFA RAIS SAMIA AMUAPISHA DK. MATARAGIO KUWA NAIBU KATIBU MKUU NISHATI

RAIS SAMIA AMUAPISHA DK. MATARAGIO KUWA NAIBU KATIBU MKUU NISHATI

Google search engine
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dk. James Peter Mataragio kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Ndogo Tunguu, Zanzibar Machi 5, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza mara baada ya kumuapisha Dk. James Peter Mataragio kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Ndogo Tunguu, Zanzibar leo Machi 5, 2024.
Google search engine

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here