Home KITAIFA RAIS DK. MWINYI APOKEA SALAMU ZA POLE KUTOKA KWA CDF

RAIS DK. MWINYI APOKEA SALAMU ZA POLE KUTOKA KWA CDF

Google search engine
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amepokea salamu za pole nyumbani kwake Ikulu Migombani kutoka kwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF) Jenerali John Jacob Mkunda kufuatia kifo cha Baba Mzazi, Rais Mstaafu wa Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Mzee Ali Hassani Mwinyi aliyefariki dunia Februari 29, 2024, Dar es Salaam na kuzikwa Machi 2, 2024, Mangapwani, Mkoa wa Kaskazini, Unguja.
 
Google search engine

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here