Home KITAIFA WAZIRI MKUU AWASILI NCHINI AKITOKEA NCHINI ITALIA ALIPOMUWAKILISHA RAIS SAMIA MKUTANO WA...

WAZIRI MKUU AWASILI NCHINI AKITOKEA NCHINI ITALIA ALIPOMUWAKILISHA RAIS SAMIA MKUTANO WA FAO

Google search engine
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea nchini Italia Oktoba 23, 2023. Waziri Mkuu Majaliwa alimuwakilsha Rais Dk. Samia Suluhu Hassan  katika Mkutano wa Jukwaa la Kimataifa la Chakula Duniani uliofanyika Rome, Italia (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila, wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea nchini Italia Oktoba 23, 2023. Mheshimiwa Majaliwa alimuwakilsha Rais Dk. Samia Suluhu Hassan  katika Mkutano wa Jukwaa la Kimataifa la Chakula Duniani uliofanyika Rome, Italia .(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Google search engine
Previous articleTUGHE YAWATAKA WAAJIRI KUWAPA UHURU WAFANYAKAZI WAO KUJIUNGA NA VYAMA VYA WAFANYAKAZI
Next articleMAWAZIRI PROFESA KITILA, ULEGA WAFANYA MAZUNGUMZO KUHUSU SEKTA UVUVI

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here