Home KITAIFA MJEMA ATEULIWA MSHAURI WA RAIS MASUALA YA WANAWAKE, NANI KUWA MWENEZI MPYA...

MJEMA ATEULIWA MSHAURI WA RAIS MASUALA YA WANAWAKE, NANI KUWA MWENEZI MPYA CCM

Google search engine
Mshauri wa Rais Masuala ya Wanawake na Makundi Maalum, Sophia Mjema

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Sophia Edward Mjema kuwa Mshauri wa Rais Masuala ya Wanawake na Makundi Maalumu,

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Rais Ikulu, ilieleza kuwa kabla ya uteuzi huo Sopha Mjema, alikuwa Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM.

wakati uteuzi huo unafanyika tayari wajumbe wa Halamshauri Kuu ya Taifa wameanza kuingia ukumbini Jijini Dodoma kuanza kikao ambacho kinatarajiwa kuwa na sura mpya ya Mwenezi wa Taifa pamoja mambo mengine yanayohusu chama hicho.

Google search engine

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here