Home KITAIFA RAIS SAMIA AHUDHURIA MISA YA KUMBUKIZI YA KUMUOMBEA HAYATI MWAl. NYERERE LEO

RAIS SAMIA AHUDHURIA MISA YA KUMBUKIZI YA KUMUOMBEA HAYATI MWAl. NYERERE LEO

Google search engine
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Viongozi mbalimbali pamoja na Waumini wa Kanisa Katoliki Parokia ya Roho Mtakatifu wakati wa Misa Maalum ya Kumbukizi ya kumuombea Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyofanyika Babati Mkoani Manyara, leo Oktoba 14, 2023.
Matukio mbalimbali katika Misa Maalum ya Kumbukizi ya kumuombea Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyofanyika katika Kanisa Katoliki Parokia ya Roho Mtakatifu Babati Mkoani Manyara, leo Oktoba 14, 2023.
Google search engine
Previous articleTANZANIA YATOA UFAFANUZI UN KUTETEA HATUA ZA KUNUSURU UHIFADHI WA LOLIONDO, NGORONGORO
Next articleMSHOMBA: NSSF NI WADAU MUHIMU KWA VIJANA NCHINI

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here