Home KITAIFA HABARI PICHA: WAZIRI MKUU ALIVYOTEMBELEA BANDA LA NMB KATIKA KONGAMANO YA NISHATI...

HABARI PICHA: WAZIRI MKUU ALIVYOTEMBELEA BANDA LA NMB KATIKA KONGAMANO YA NISHATI DAR

Google search engine
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa (kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Meneja Mwandamizi Idara ya Wateja Wakubwa upande wa Nishati wa Benki ya NMB, Hamis Njapuka, kuhusu utayari wa Benki ya NMB kwenye suala zima la maendeleo ya nishati, wakati wa kongamano la kimataifa la Nishati “Tanzania Energy Congress” lililofanyika jijini Dar es Salaam jana na kudhaminiwa na Benki ya NMB. (Na Mpiga Picha Wetu).
Google search engine

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here