Home KITAIFA RAIS SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA MABADILIKO YA TABIANCHI BARANI AFRIKA NAIROBI...

RAIS SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA MABADILIKO YA TABIANCHI BARANI AFRIKA NAIROBI NCHINI KENYA

Google search engine
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Makamu wa Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua mara baada ya kuwasili katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Kenyatta (KICC) kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Barani Afrika (Africa Climate Summit 23) Nairobi nchini Kenya tarehe 05 Septemba, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa na Wakuu wa Nchi na Serikali pamoja na Viongozi wa Taasisi mbalimbali za Kimataifa kwenye Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Barani Afrika (Africa Climate Summit 23) unaofanyika katika ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Kenyatta (KICC) Nairobi nchini Kenya tarehe 05 Septemba, 2023.
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama na Wakuu wa Nchi na Serikali pamoja na Viongozi wa Taasisi mbalimbali za Kimataifa wakati wa Wimbo wa Umoja wa Afrika (AU) na ule wa Taifa wa Kenya ukiimbwa mara baada ya kuwasili katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Kenyatta (KICC) Nairobi nchini Kenya tarehe 05 Septemba, 2023 kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Barani Afrika (Africa Climate Summit 23).
Viongozi kutoka Mataifa mbalimbali Duniani wakiwa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Kenyatta (KICC) Nairobi nchini Kenya kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Barani Afrika (Africa Climate Summit 23) tarehe 05 Septemba, 2023.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiamo wa Afrika Mashariki, January Makmba naye akiwa na viongozi kutoka Mataifa mbalimbali Duniani wakiwa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Kenyatta (KICC) Nairobi nchini Kenya kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Barani Afrika (Africa Climate Summit 23) tarehe 05 Septemba, 2023.
Brass Band ya Polisi ya Kenya ikitumbuiza katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Kenyatta (KICC) Nairobi nchini Kenya kwenye Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Barani Afrika (Africa Climate Summit 23) tarehe 05 Septemba, 2023
Google search engine

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here