Home KITAIFA KULINDA MAZINGIRA NA VYANZO VYA MAJI NI LAZIMA SIO HIARI-DK. JAFO

KULINDA MAZINGIRA NA VYANZO VYA MAJI NI LAZIMA SIO HIARI-DK. JAFO

Google search engine
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dk. Selemani Jafo akifungua Kongamano la Bunifu jijini Dar es Salaam
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dk. Selemani Jafo akifungua Kongamano la Bunifu

NA MWANDISHI WETU

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dk. Selemani Jafo akifungua Kongamano la Bunifu katika Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi lililofanyika jijini Dar es Salaam Agosti, 2023.

Aidha katika kongamano Hilo Dk. Jafo alisisitiza kuwa suala la kulinda kuhifadhi na kutunza Mazingira na vyanzo vya maji ni lazima kwa Mujibu wa sheria zetu Tanzania Hivyo ni wajibu Mazingira yatunzwe kwa Vizazi vya Sasa na Baadae katika Jamii,

“Ndugu zangu katika kongamano hili natoa wito kupitia nanyi pamoja na wanahabari kuwa Mazingira yetu yatunzwe na kuhifadhiwa kwa maslahi ya Taifa,” amesisitiza Dk. Jafo

Kongamano Hilo la Mazingira linahusisha wadau mbalimbali wa Mazingira pamoja na mabalozi wa Mazingira lengo ikiwa kuhakikisha Tanzania inakuwa salama juu ya uhifadhi na utunzaji wa Mazingira.

Google search engine

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here