Home KITAIFA HABARI PICHA: WAZIRI MKUU ALIVYOTELEMBELEA BANDA LA NMB NANENANE NYANDA ZA JUU...

HABARI PICHA: WAZIRI MKUU ALIVYOTELEMBELEA BANDA LA NMB NANENANE NYANDA ZA JUU KUSINI

Google search engine
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa Majaliwa (Kulia) akimsikiliza Meneja wa Benki ya NMb Kanda ya Nyanda za Juu, Straton Chilongola (kushoto) alipotembelea Banda la Benki ya NMB katika Maonesho ya Nane Nane yanayofanyika kitaifa katika Viwana vya John Mwakangale, Jijini Mbeya. Katikati ni Mkuu wa Idara ya kilimo Biashara wa abenki ya NMB, Nsolo Mlozi na wengine wanaoshuhudia kwa Nyuma ni Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera.
Google search engine

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here