Home KITAIFA WAZIRI MKUU AZUNGUMZA KATIKA MKUTANO WA PILI WA VIONGOZI WA NCHI NA...

WAZIRI MKUU AZUNGUMZA KATIKA MKUTANO WA PILI WA VIONGOZI WA NCHI NA SERIKALI KUTOKA MATAIFA YA AFRIKA NA URUSI

Google search engine
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na viongozi walioshiriki katika mkutano wa pili wa kilele baina ya wakuu wa nchi na serikali  kutoka mataifa ya Afrika na Urusi uliofunguliwa na Rais wa Shirikisho la Urusi, Vladimir Putin, kwenye kituo cha mikutano na maonesho cha Expo Forum kilichopo St. Petersburg, Urusi Julai 28, 2023.  Waziri Mkuu Alimuwakilisha Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano huo.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Rais wa Shirikisho la Urusi, Vladimir Putin akizungumza wakati alipofungua mkutano wa pili wa kilele baina ya wakuu wa nchi na serikali  kutoka mataifa ya Afrika na Urusi uliofunguliwa na Rais wa Shirikisho la Urusi, Vladimir Putin, kwenye kituo cha mikutano na maonesho cha Expo Forum kilichopo St. Petersburg, Urusi Julai 28, 2023.  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alimuwakilisha Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano huo.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika mkutano wa pili wa kilele baina ya wakuu wa nchi na serikali  kutoka mataifa ya Afrika na Urusi uliofunguliwa na Rais wa Shirikisho la Urusi, Vladimir Putin, kwenye kituo cha mikutano na maonesho cha Expo Forum kilichopo St. Petersburg, Urusi Julai 28, 2023.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Mkutano wa pili wa kilele baina ya wakuu wa nchi na serikali  kutoka mataifa ya Afrika na Urusi uliofunguliwa na Rais wa Shirikisho la Urusi, Vladimir Putin, kwenye kituo cha mikutano na maonesho cha Expo Forum kilichopo St. Petersburg, Urusi Julai 28, 2023. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alimuwakilisaha Rais Dk. Samia Shuluhu Hassan kwenye mkutano huo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Google search engine

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here