Home KITAIFA PROGRAMU YA MICHEZO MTAA KWA MTAA PAMOJA NA SAMIA TAIFA CUP YAIVA

PROGRAMU YA MICHEZO MTAA KWA MTAA PAMOJA NA SAMIA TAIFA CUP YAIVA

Google search engine
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Balozi Dk. Pindi Chana pamoja na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China hapa nchini Chen Mingjian wakisaini hati ya makabidhiano ya Vifaa vya Michezo leo Julai 10, 2023 Jijini Dar es Salaam.

NA MWANDISHI WETU

Vifaa hivyo ni pamoja na mipira ya Kikapu 600, Miguu 600, Wavu 600 pamoja na Jezi 2634 ambavyo vitasambazwa Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kwa ajili ya Programu ya Michezo Mtaa kwa mtaa pamoja na Samia Taifa Cup.

Google search engine
Previous articleVIFAA VYA MILIONI 314 VYAKABIDHIWA KWA AJILI YA WAISHIO NA VVU MKOANI MWANZA
Next articleRAIS SAMIA: TANZANIA ITAENDELEA KUWEKA MAZINGIRA RAFIKI YA UWEKEZAJI

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here