Home KITAIFA RAIS SAMIA, RAIS DK. LAZARUS CHAKWERA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MKATABA WA MAKUBALIANO...

RAIS SAMIA, RAIS DK. LAZARUS CHAKWERA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MKATABA WA MAKUBALIANO KATI YA TANZANIA NA MALAWI

Google search engine
Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na Rais wa Malawi, Dk. Lazarus McCarthy Chakwera washuhudia utiaji Saini Mkataba wa Makubaliano (MoU) kati ya Tanzania na Malawi kuhusiana na
mashirikiano kwenye Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), Lilongwe nchini Malawi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Malawi, Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera kwenye picha ya kumbukumbu na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Moses Nnauye pamoja na Waziri wa Habari na TEHMA wa Malawi, Moses Kunkuyu Kalongashwa mara baada ya kushuhudia utiaji saini Mkataba wa Makubaliano (MoU) kuhusiana na mashirikiano kwenye Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) Lilongwe nchini Malawi tarehe 7 Julai, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa na Mwenyeji wake Rais wa Malawi, Dk. Lazarus McCarthy Chakwera wakati wakishuhudia utiaji Saini Mkataba wa Makubaliano (MoU) kati ya Tanzania na Malawi kuhusiana na mashirikiano kwenye Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) mara baada ya mazungumzo yao Lilongwe nchini Malawi tarehe 7 Julai, 2023. Aliyeketi (kulia) ni Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Moses Nnauye wakisaini Mkataba huo pamoja na Waziri wa Habari na TEHAMA wa Malawi, Moses Kunkuyu Kalongashwa wa kwanza (kushoto)

Na MWANDISHI MAALUMU

-LILONGWE, MALAWI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan pamoja na Rais wa Malawi, Dk. Lazarus McCarthy Chakwera washuhudia utiaji Saini Mkataba wa Makubaliano (MoU) kati ya Tanzania na Malawi kuhusiana na mashirikiano kwenye Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), Lilongwe nchini Malawi.

Google search engine

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here