Home KITAIFA MAKAMU DK. MWINYI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI MAALUM CCM ZANZIBAR KITAIFA MAKAMU DK. MWINYI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI MAALUM CCM ZANZIBAR By Best Media - July 7, 2023 FacebookTwitterPinterestWhatsAppLinkedinEmailTelegram Makamu wa Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi leo ameongoza Kikao cha kawaida cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kilichofanyika Ukumbi wa CCM Kisiwandui Zanzibar.