Home KITAIFA RAIS DK.MWINYI AKUTANA NA WAZIRI WA UHAMIAJI WA JIMBO LA THURINGIA UJERUMANI

RAIS DK.MWINYI AKUTANA NA WAZIRI WA UHAMIAJI WA JIMBO LA THURINGIA UJERUMANI

Google search engine
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Waziri wa Uhamiaji , Sheria na Haki za Walaji Jimbo la Thuringia Ujerumani Mhe. Doreen Denstadt mwenye asili ya Kitanzania, katika mazungumzo yao wamegusia kuanzisha ushirikiano baina ya Jimbo la Thuringra na Tanzania pia baina ya Mji wa Weimer na Zanzibar.
Google search engine

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here