Home KITAIFA Rais Samia ‘adondosha’ futari ya nguvu Ikulu, viongozi wa makundi mbalimbali wahudhuria

Rais Samia ‘adondosha’ futari ya nguvu Ikulu, viongozi wa makundi mbalimbali wahudhuria

Google search engine
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa pamoja na Kaimu Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam Walid Alhad Omar wakati wa Futari Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 15 Aprili. 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiingia ukumbini kwa ajili ya futari aliyoiandaa kwa wageni wake Ikulu Jijini Dar es Salaam
Mahasimu wa jadi Simba na Yanga wakutana kwenye Futari Ikulu Jijini Dar es Salaam, wa kwanza kulia ni Rais wa Yanga Eng. Hersi Said, Mwenyekiti wa Bodi ya Simba Salim Abdallah (Try again) wa pili kutoka kulia pamoja na Mfadhili na Mdhamini wa Yanga Ghalib Said Mohamed wa pili kutoka kushoto wakiwa Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya Futari iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan tarehe 15 Aprili 2023. Wakwanza kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo na Mama Janeth Magufuli wakati wakitoka kwenye Futari, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 15 Aprili. 2023
Google search engine

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here