Home KITAIFA Rais Samia afanya uteuzi mwingine

Rais Samia afanya uteuzi mwingine

Google search engine

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo;

Kwanza, amemteua Andrew Wilson Massawe kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI)

Aidha, Amemteua Profesa Ulingeta Obadia Lebson Mbamba kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi la Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kwa kipindi cha Miaka mitatu.

Google search engine
Previous articleHakuna wilaya itakayokosa gari la kubebea wagonjwa
Next articleSMZ: Ushirikiano, mchango wa NMB kwa maendeleo ya Zanzibar ni wa kuigwa

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here