Home KITAIFA RAIS SAMIA SULUHU AKISHIRIKI MKUTANO WA BARAZA LA AMANI NA USALAMA, UMOJA...

RAIS SAMIA SULUHU AKISHIRIKI MKUTANO WA BARAZA LA AMANI NA USALAMA, UMOJA WA AFRIKA

Google search engine
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu akishiriki Mkutano wa Baraza la Amani na Usalama (PSC) la Umoja wa Afrika (AU) pamoja na Wakuu wa Nchi na Serikali wa Afrika kujadili hali ya Usalama katika eneo la Mashariki ya Jamhuri ya  Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Mkutano huo umefanyika katika Jengo la Amani na Usalama la Mwalimu Julius Nyerere lililopo Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU) Addis Ababa nchini Ethiopia chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Afrika Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa tarehe 17 Februari, 2023.
Google search engine

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here