Home KITAIFA RAIS DK. SAMIA SULUHU HASSAN AWAAPISHA VIONGOZI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

RAIS DK. SAMIA SULUHU HASSAN AWAAPISHA VIONGOZI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Google search engine
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohamed Omary Mchengerwa, akiwa na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Balozi DK. Pindi Hazara Chana, pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Said Othman Yakub wakila Kiapo cha Maadili kwa Viongozi kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini
Dar es Salaam, 15 Februari, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mohamed Omary Mchengerwa kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 15 Februari, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa katika picha ya na Makamu wa Rais, Dk. Philip Isdor Mpango, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi, Dkt. Moses Kusiluka, Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohamed Omary Mchengerwa , Balozi Pindi Hazara Chana, Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Said Othman Yakub mara baada ya hafla ya Uapisho iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam
Google search engine

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here