Home KITAIFA RAIS DK. MWINYI AZUNGUMZA NA JAJI MKUU WA TANZANIA NA UJUMBE WAKE...

RAIS DK. MWINYI AZUNGUMZA NA JAJI MKUU WA TANZANIA NA UJUMBE WAKE IKULU ZANZIBAR

Google search engine
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Ujumbe wake kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 11-2-2023.(Picha na Ikulu)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma (kulia kwa Rais) na Ujumbe wake walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika Ukumbi wa Ikulu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi Maalum na Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo
Google search engine

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here