Home KITAIFA RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MWANAFAMILIA WA DUBAI IKULU DODOMA

RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MWANAFAMILIA WA DUBAI IKULU DODOMA

Google search engine
Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Mwanafamilia wa Watawala wa Dubai kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Ikulu jijini Dodoma, leo Februari 6, 2023.
Rais Samia Suluhu Hassan akimkabidhi zawadi ya Picha ya Jengo la Kihistoria la Zanzibar, Bait el Ajaib, Mwanafamilia wa Utawala wa Dubai kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Ikulu jijini Dodoma Februari 6, 2023
Google search engine

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here