Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Nchini, Ramadhani Ng’anzi (wa pili kushoto), akipeana mkono na Mkuu wa Kitengo cha Bima wa Benki ya NMB, Martin Massawe (kushoto), wakati wa hafla ya uzinduzi wa ukaguzi wa magari kuelekea Wiki ya Usalama Barabarani, ambapo benki ya NMB ni mmoja wa wadhamini. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Elimu Makao Makuu ya Kikosi cha Usalama Barabarani, ACP Michael Deleli na kushoto ni Afisa Mnadhimu wa Kikosi cha Usalama Barabarani ACP Meloe Buzema na wapili kulia ni Meneja mwandamizi huduma za serikali wa abenki ya NMB, Sophia Benno (Na Mpiga Picha Wetu).