Home KITAIFA RAIS WA ZANZIBAR DK.HUSSEIN MWINYI AZUNGUMZA NA UONGOZI WA KITAIFA WA AHMADIYYA...

RAIS WA ZANZIBAR DK.HUSSEIN MWINYI AZUNGUMZA NA UONGOZI WA KITAIFA WA AHMADIYYA MUSLIM JAMAAT TANZANIA IKULU ZANZIBAR LEO

Google search engine
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Uongozi wa Kitaifa wa Jumuiya ya Ahmadiyya Muslim  Jamaat Tanzania ukiongozwa na Amir Mbashiri Mkuu Sheikh. Tahir Mahmood (kulia kwa Rais) na Naib Amir Sheikh Abdulrahaman Mohammed Ame, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo  na kujitambulisha leo. Mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar .(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa  Msahafu na Amir Mbashiri Mkuu wa Jumuiya ya Ahmadiyya Muslim Jamaat Tanzania.Sheikh Tahir Mahmood,  uliotafsiriwa kwa Kiswahili na Jumuiya hiyo, baada ya kumalizika kwa mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Amir Mbashiri Mkuu wa Jumuiya ya Ahmadiyya Muslim Jamaat Tanzania.Sheikh Tahir Mahmood , baada ya kumalizika kwa maungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar  leo 4-2-2023, walipofika kwa ajili ya mazungumzo na kujitambulisha.(Picha na Ikulu)
 
Google search engine

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here