Home KITAIFA HABARI PICHA: WAZIRI HUSSEIN BASHE ATETA NA WAZIRI WA KILIMO TOKA NCHINI...

HABARI PICHA: WAZIRI HUSSEIN BASHE ATETA NA WAZIRI WA KILIMO TOKA NCHINI KENYA

Google search engine
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Kilimo na Maendeleo ya Mifugo wa Jamhuri ya Kenya, Mithika Linturi katika Ofisi za Wizara ya Kilimo, Kilimo IV, jijini Dodoma.

Mawaziri hao wawili wamekubaliana kuimarisha ushirikiano katika sekta ya kilimo kwa kubadilishana ujuzi katika tafiti za kilimo ili kuongeza upatikanaji wa chakula katika Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Google search engine

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here