Home KITAIFA HABARI PICHA: Benki ya NMB ilivyoshiriki wiki ya Sheria Jijini Dodoma KITAIFA HABARI PICHA: Benki ya NMB ilivyoshiriki wiki ya Sheria Jijini Dodoma By Best Media - February 2, 2023 FacebookTwitterPinterestWhatsAppLinkedinEmailTelegram Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Dk. Eliezer Feleshi (kushoto) akisalimiana na Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Kati, Nsolo Mlonzi (kulia) wakati wa kilele cha wiki ya sheria iliyofanyika kitaifa jijini Dodoma. Rais wa chama cha wanasheria Tanzania (TLS), Dk. Edward Hosea (kushoto) akisalimiana na meneja wa Benki ya NMB Kanda ya kati, Nsolo Mlonzi (kulia) wakati wa kilele cha wiki ya sheria iliyofanyika kitaifa jijini Dodoma