Home Blog

DRC: WANAJESHI SABA WAHUKUMIWA KIFO KWA ‘UOGA’

0
WANAJESHI saba wa Congo wamehukumiwa kifo kwa kuonyesha 'uoga mbele ya adui' na kusababisha hofu kuu walipokimbia waasi wa M23.Siku ya Alhamisi, wanajeshi hao...

WAZIRI MKUU ATEMBELEA KAMBI YA MUDA WAATHIRIKA WA MAAFA KATESH

0
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Disemba 05, 2023 ametembelea kambi ya muda walipo waathirika wa maafa ya mafuriko yaliyosababisha kuharibika kwa nyumba na miundombinu...

MAAFA KATESH WAZIRI MKUU AWAJULIA HALI MAJERUHI WALIOLAZWA HOSPITALI

0
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Disemba 05, 2023 amewajulia hali majeruhi wa maafa ya mafuriko yaliyosababisha kuporomoka kwa tope na mawe kutoka mlima Hanang,...

WAZEE WAKUMBUSHWA JUKUMU LA KUKEMEA MMOMONYOKO WA MAADILI NCHINI

0
Na Said Said, WMJJWM- Dodoma. Baraza la Taifa la Wazee limeaswa kushirikiana na Serikali pamoja na wadau mbalimbali katika kurekebisha na kusimamia maadili mema ya...

WANANCHI NGORONGORO WANAHAMISHWA KWA KUZINGATIA HAKI ZA BINADAMU

0
Na Munir Shemwera, WANMM MOROGORO NAIBU Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Geofrey Pinda amesema wananchi wa Ngorongoro wanaohamishwa kutoka eneo la hifadhi kwenda...

SIMANZI YAZIZIMA HANANG WALIOFARIKI WAFIKIA 63, MAJERUHI 116 UPOAJI MIILI WAENDELEA

0
Na MWANDISHI WETU -HANANG WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema idadi ya watu waliokufa kutokana na maporomoko ya udongo wilayani Hanang, mkoani Manyara imefikia 63 na majeruhi...

Tume ya Tehama yapeleka wabunifu saba kongamano la Afrika

0
Na Mwandishi Wetu KATIKA kuhakikisha inakuza ubunifu kwa kampuni changa za Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) nchini, Tume ya Tehama (ICTC) imefanikisha safari ya...

Benki ya NMB yang’ara Tuzo za Mwajiri Bora mwaka 2023

0
Na MWANDISHI WETU -DAR ES SALAAM BENKI ya NMB imenyakua tuzo nne kwenye tuzo za Mwajiri Bora wa Mwaka (EYA 2023), ukiwemo ushindi wa pili kwenye...

Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB awataka vijana kunoa ujuzi wao...

0
Na MWANDISHI WETU -DAR ES SALAAM AFISA Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna, amewashauri vijana nchini Tanzania kunoa ujuzi wao wa Karne ya 21...

NMB, Oryx Tanzania wazindua ‘Moto Mkali Bei Poa,’ kukopesha gesi ya...

0
NA MWANDISHI WETU -DAR ES SALAAM BENKI ya imeingia Makubaliano ya Ushirikiano (MoU) na Kampuni ya Uuzaji na Usambazaji Gesi ya Oryx Gas Tanzania, yaliyopewa jina...