Home KITAIFA RAIS SAMIA AWAAPISHA MAKATIBU WAKUU, KATIBU TAWALA ALIOWATEUA

RAIS SAMIA AWAAPISHA MAKATIBU WAKUU, KATIBU TAWALA ALIOWATEUA

Google search engine
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Ally Senga Gugu kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Mambo Ndani ya Nchi katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Tunguu Zanzibar leo Machi 17, 2024
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Mhandisi Mwajuma Waziri kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maji katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Tunguu Zanzibar Machi 17, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Kaspar Kaspar Mmuya kuwa Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Tunguu Zanzibar Machi 17, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Viongozi mbalimbali mara baada ya kuwaapisha Makatibu Wakuu na Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Tunguu Zanzibar Machi 17, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais Dk. Philip Isdor Mpango, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhandisi Hamad Masauni, Waziri wa Maji Jumaa Aweso, Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Ndugu, Ally Senga Gugu, Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Mwajuma Waziri na Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma Ndugu Kaspar Kaspar Mmuya mara baada ya kuwaapisha Makatibu hao katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Tunguu ZanzibarMachi 17, 2024.
Google search engine

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here