Home KITAIFA Rais Dk. Mwinyi akabidhi cheti kwa Benki ya NMB

Rais Dk. Mwinyi akabidhi cheti kwa Benki ya NMB

Google search engine

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (katikati) akimkabidhi cheti Meneja wa Biashara wa Benki ya NMB Zanzibar, Naima Said Shaame, cha kutambua mchango wa benki hiyo wakati wa kongamano la kujadili miaka mitatu ya mafanikio, fursa na changamoto tangu Dk. Mwinyi aingie madarakani. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd, Bakari Machumu. Benki ya NMB ilishiriki kikamilifu kama mdhamini na kuonyesha baadhi ya masuluhisho benki imezindua zenye lengo la kuhamashisha ukuaji wa uchumi wa bluu visiwani  Zanzibar na Pemba.
Google search engine
Previous articleWateja Benki ya NMB kujishindia milioni 35O/- promosheni ya MastaBata Msimu wa Tano
Next articleRAIS SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA JAMHURI YA SHIRIKISHO LA UJERUMANI

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here